Sherehe ilifanyika katika Ukumbi wa Hekima Garden karibu na ITV Mikocheni Dar-es salaam. |
Maharusi wakiingia ukumbini kwa shangwe.
Maharusi wakikata Keki yao ya harusi kwa furaha.
Wapiga picha hawaachi vituko ukizingatia shughuli ni ya kwao, wamejiachia.
Mkurugezi wa Image Production Issakwisa Kalinga ambaye pia ni Bosi wa Bwana harusi akitoa wosia kwa maharusi.
No comments:
Post a Comment