o
Tulipofika Bagamoyo, tulianzia kwenye msalaba Tulisali na kupewa historia ya wamisionary walipoingia Bagamoyo Miaka ya 1800
Ikafuatia Ibada ya njia ya msalaba
Kituo cha mwisho katika ibada ya Njia ya msalaba
Baadae tukaelekea kwenye Groto la Bikira Maria
Tulipata wasaa wa kujifunza jinsi ya kusali katika Groto la Bikira Mari
Ikafuatia Ibada ya misa katika anisa kuu la kihistori Bagamoyo
Baada ya Ibada tulipiga picha za Pamoja wanaparokia ya Mshikamano
Tlirudi tena kwenye msalaba tukapiga picha za Makundi ya kanda zote na vyama vya kitume
Mwisho tukapiga picha za pamoja ufukweni,
Shukran kwa uongozi mima wa Parokia Tukiongozwa na baba Paroko Francis Kangwa
Mwisho tulianza safari ya kurudi nyumbani
Pia nachukua fursa hii kuwakaribisha wanamshikamano na wengine wenye mapenzi mema katika kampuni yetu ya Gkzproduction,tuwape huduma iliyobora ya picha na video kwenye shughuli zenu za kijamii kama,harusi, send off, kitchen party na nyingine nyingi.
Bei zetu ni nafuu katika hizo Package tunatoa punguzo kutokana na hali ya uchumi ya sasa angalia kazi zetu kwennye mitandao ya kijamii katika hivi vipeperushi vyetu hapo juu,karibu tukuhudumie
No comments:
Post a Comment