Hongera Alfonsina umependeza dada
bI Harusi akiwa na wapambe wake saloon, jamani mmependeza
Bi harusi akiwa na kaka yake wa kuzaliwa
Hiyo ndiyo stage ya sherehe ya dada Alfansina
meza ya wazazi wa bi harusi mtarajiwa
wazazi walezi wa bi harusi walitoa nasaha kwa bint yao
Ahsante binti yetu,ukaishi vizuri na watu
zawadi ya kamati
No comments:
Post a Comment