Dr. Victoria akilakiwa na wageni waalikwa baada ya kuhitimu masomo huko Marekani.
Askofu mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania Mchungaji Alex Malasusa alikuwa ni mmoja wa wageni waalikwa katika hafla ya kumpongeza Dr. Victoria J.Kisyombe.
Mama Anna Mkapa alikuwa ni mmoja wa wageni waliokuja kumpongeza Dr.Victoria J.Kisyombe katika hafla iliyofanyika Sea Cliff Hotel, Karambezi Restaurant.
Baadhi ya zawadi alizopewa Dr. Kisyombe alizopewa na waumini wenzie wa Usharika wa K.K.K.T Kijitonyama.
Hapa ilikuwa ni utani kati ya wapare na wachaga kwani wapare huweza kula ugali kwa picha ya samaki.
Dr. Victoria Kisyombe akiwahukuru wageni kwa kuacha kazi zao na kuja kujumuika nae.
Picha hiyo ilipigwa wakati akitunukiwa Tuzo na mama Hilaly Kiliton baada ya kuhitimu masomo yake.
Hawa ni wazee wa Kanisa la K.K.K.T Kijitonyama wakifurahia jambo.
No comments:
Post a Comment