Akinamama wakijiandaa kabla ya shughuli kuanza.
Watoto wa Madrasa wakisoma Dua kwa ajili ya ufunguzi wa shughuli.
Watoto wa Madrasa wakitoa burudani ya Qaswida.
Hapo mzee huyo akiimba shairi zuri la kuwapongeza kwa kupata mtoto Jamal Machour.
Mtoto Jamal akiwa na mama yake mzazi.
Mama Jamal akimpongeza muimbaji wa shairi.
Hapa ni baadhi ya picha walizopigwa wageni waalikwa wakati wa kuomba dua ya ufunguzi.
Jamal akiwa na wazazi wake.
Hiyo ndiyo Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya mtoto Jamal.
Jamal akilishwa keki na wazazi wake.
Hapa ni mtot Jamal akipokea baadhi ya zawadi.
Kicheko cha mtoto Jamal kinachoashiria kuwashukuru wazazi kwa kumwandalia Maulid.
Mtoto Jamal akiwa na shangazi yake Dr. Malima; Hongera mwanangu.
Jamal akiwa na shangazi zake.
Shamrashamra zikiwa zinaendelea zilisindikizwa na utoaji wa zawadi kwa mtoto Jamal.
No comments:
Post a Comment