Bi.Harusi mtarajiwa Rehema akiwa saloon kwa ajili ya maandalizi ya sherehe yake ya kuagwa(send off party)
Wazazi walezi wa Bi.Rehema wakiingia ukumbini kwa shangwe, nderemo na fifijo
Wazazi wa kiumeni wakiingia ukumbini kwa furaha.
Mameidis nao wamependeza wakiingia ukumbini kwa madaha.
Bi harusi mtarajiwa na mpambe wake wakiingia ukumbini kwa mwendo wa madaha.
Mmoja wa wafanyakazi kutoka kampuni ya G.K Video Production akiwa mtamboni.
Baadhi ya Picha alizopigwa bi. harusi mtarajiwa na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki katika Mobile Studio.
Bi.Rehema, mpambe wake na mameidis katika pozi la picha za mobile studio.
Mameidis katika pozi la picha za mobile studio. kwa kweli wametokelezea.
Bi.Harusi mtarajiwa akikata keki yake.
Bi,Harusi mtarajiwa akiwakabidhi keki wakwe zake watarajiwa
Bi,Rehema akimkabidhi keki bibi yake.
Bi.Rehema na kamati ya maandalizi ya sherehe yake wakiwa katika picha ya pamoja.
Bw. Harusi mtarajiwa akillishwa tunda na mkewe mtarajiwa ikiwa ni inshara ya upendo.
Maharusi watarajiwa wakipata chakula cha jioni kwa pamoja.
Baadhi ya wageni waalikwa watoa zawadi.
wageni waalikwa wakiendelea kutoa zawadi tofautifauti.
Bi.Harusi mtarajiwa na mpambe wake wakitoka ukumbini kwa furaha baada ya sherehe yake kukamilika.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Sunday, July 20, 2014
Rehema Send Off Party 17/07/2014
Tags
# Send Off Party
Share This
About gervas kamwaya
Send Off Party
Labels:
Send Off Party
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment