Mameidis wakiwa wamesimama baada ya kufika kuingia ukumbini.
Maharusi wakiwa wanaingia ukumbini kwa furaha.
Mmoja wa wafanyakazi kutoka kampuni ya GK Video Production akifanya kazi yake.
Baadhi ya wageni waalikwa wakitoa zawadi kwa maharusi.
Bi.harusi akiwa saluni kwa ajili ya maandalizi ya harusi yake.
Mameidis wakiwa kanisani kushuhudia ndoa ikifungwa.
Maharusi mbele wakitoka ukumbini kwa furaha.
Bi.harusi akimvisha pete mume wake baada ya ndoa yao kufungwa.
Bi.harusi akiweka saini katika cheti chao cha ndoa.
Maharusi na viongozi wa dini wakipiga picha ya pamoja nje ya kanisa baada ya ndoa kufungwa.
Bi.harusi Prisca akiwa na bi.harusi mwenzie waliofunga ndoa kanisa kanisa moja.
Bw.harusi Allen akiwa na Bw. harusi mwenzie baada ya ndoa zao kufungwa kanisa moja na siku moja.
Hizi ni baadhi ya picha walizopiga maharusi na baadhi ya wageni ktk eneo maalum kabla ya kuingia ukumbini.
Maharusi wakiwa katika mapozi ya kupiga picha kabla ya kuingia ukumbini.
hizi ni badhi ya picha walizopiga wakiwa coctail iliyofanyika kabla ya kuingia ukumbini.
wageni waalikwa wakifurahia coctail kabla ya kuingia ukumbini.
Maharusi na wapambe wao wakiwa katika coctail
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Monday, July 7, 2014
Allen &Prisca wedding on 05/07/2014
Tags
# wedding
Share This
About gervas kamwaya
wedding
Labels:
wedding
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Nimependa idea ya maharusi kanisani kupiga picha pamoja.
ReplyDeleteMaids wanapendezesha ila hapa wamepoa
Ila kazi nzuri kuliko zingine