Nyaso Send Off party 28, June, 2014 Msimbazi Centre - GKZ PRODUCTION

Breaking

Home Top Ad

Simple, Free Image and File Hosting at MediaFire

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 5, 2014

Nyaso Send Off party 28, June, 2014 Msimbazi Centre

Bi.Harusi mtarajiwa akiwa salooni kwa ajili ya maandalizi ya sherehe yake ya kuagwa (send off party)
 Hongareni Mameidis kwa kupendeza.




 Ni ukumbi ambao ilifanyika sherehe ya kumuaga Nyaso (Send off party)  unakila aina ya nakshi zilizopelekea upendeze.


 Bi.harusi akiwa ktk ponzi ya baadhi ya picha alizopiga ktk Mobile Studio toka G.K Production.
 Baadhi ya picha za Mobile Studio bi.harusi akiwa amepiga na wazazi wake.



 Mameidis wakiingia ukumbini.
 Bi.harusi na mpambe wake wakiingia ukumbini kwa mbwebwe, kwa kweli wametokelezea.
 Mwenyekiti wa kamati akiwakaribisha ukumbini wageni waalikwa.
 Bi.harusi mtarajiwa akiwasalimia wageni waalikwa.







Wageni waalikwa wakitoa zawadi kwa Bi. Nyaso.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya G.K VIDEO PRODUCTION wakisubilia muda wa sherehe uanze ili waanze kazi.

 Bw. Harusi kulia akiwa na mpambe wake wakifuatilia matukio ktk sherehe
Baba mzazi wa Bi.harusi akitunzwa zawadi na shemeji yake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages