Bi Fatma akiwa saloon maandalizi yakwenda ukumbini
Hapa ni picha baada ya kuwa tayari kupambwa
Hapa ilikuwa ni mobile studio kabla ya kuingia ukumbini
Baba wa bi harusi wakisalimiana na dada wa Muhidini bi Ashura:karibu ukumbini baba
Bi harusi akitakiana heri ya kinywaji na baba yake
Ni baadhi ya picha za familia
nawapa wosia wanangu mkaishinmaisha ya amani na upendo
Furaha iliyoje dada kumpata wifi
tunaomba upendo huu uendelee bila kukoma
Baba Issa;akitoa mkono wa pongezi kwa maharusi
Wifi karibu nyumbani
Muhidini akipiga picha na wakwe zake
No comments:
Post a Comment