Familia ya bw harusi wamefika eneo la tukio tayari kwa kuchua mke
Mashekhe wako tayari kwa kufungisha ndoa
Tunakupa mke mkaishi kwa upendo
Shekhe akitoa mawaitha kwa wauumini baada ya ndoa
Idrisa & Fatma Hongera mwenyezi mungu awzidishie baraka na upendo
walipata picha za pamoja baada ya ndoa
Ahsante Idrisa kwa kunichagua niwe wako wa maisha
Kunyweshana maziwa ni alima ya upendo kwa mila zetu
Baba mzazi wa bi harusi akiwaasa wanae wakaishi vizuri na jamii
No comments:
Post a Comment