Rahma akiwa mpambe wake ukumbini
Shughuli ya send off ilifanyika katika ukumbi wa mamba urafiki Dar es salaam
katikati ni mama mzazi wa Rahma kushoto ni mama mtei mlezi wa Rahma wakipata chakula
Ni baadhi ya picha alizopiga akiwa saloon kama hizo poz unazoziona kwa bi Rahma
Picha nzuri. mmetokelezea hongera
Kaka acha mbwe mbwehiyo siyo siku yako bado. hiyo ni send off, huto bw harus mtarajiwa
Kulia ni mama mzazi wa bi harus Rahma Hongera mama umependeza
No comments:
Post a Comment