Maharusi wakifunga muziki
Lucresia akitoa tabasamu zito:ninafurahi sababu leo ni siku yangu muhimu katika maisha yangu
Kanisa katoliki parokia ya Buza ndiko maharusi hawa walifunga pingu za maisha kama linavyoonekana pichani
Bi Harusi Lucresia akiwapa keki wakwe zake
Hapa ni baadhi ya piha za studio ambazo maharusi walipiga
Honera mameids mlipendeza biharusi akipata picha na mameids wake
Pia maharusi walikenda kupga picha katika kiwanja cha ndege za Mwl Julius Nyerere
Maharusi wakivishana pete za ndoa
No comments:
Post a Comment