Subira akimlisha mumewe kipenzi keki.
Maharusi wakiingia ukumbini kwa mbwembwe na bashishi
Maharusi wakipiga picha na familia baada ya ndoa.
Sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Besti choice Tabata.
Hayo ndiyo mapambo yaliyojiri katika siku hiyo
Bi harusi Subira akiwa na mpambe wake, hongereni mmetokelezea
Hizo ni baadhi ya picha za Mobile studio walizopiga maharusi.
No comments:
Post a Comment