Maharusi wamepiga picha style mbalimbali.
Ruben na mkewe wakisaga lumba wakati wa kuingia ukumbini
Baba na Mama wa Bi harusi wakitoa shukrani zao kwa wageni waalikwa
Maharusi wakipiga picha na wazazi wao.
Hapa ni nyumbani kwa Bi harusi, ndipo bi harusi alipopambiwa.
No comments:
Post a Comment