wmaharusi wakiwa kwenye mobile studio wakipata picha za Kumbukumbu
siku isiyosahaulika maishani maharusi wakifurahia siku yao
maharusi katika picha ya Familia mungu awabariki katika ndoa yenu
Priscus na Lilian wakiingia ukumbini Flamingo hall mbezi beach Dar es salaam
Baba na mama mkubwa wa Priscus mzee chrles malya
mama mzazi wa Priscus akitoa baraka kwa wanae ,kaka ametulia kama anapewa kipaimara safi sana
akiweka sahihi katika kanisa katoliki la st Joseph D,slalaam
maharusi wakishangiliwa baada ya kupata viapo vya ndoa
Hongera mungu awabariki katika maisha yenu mkazae watoto
No comments:
Post a Comment