Ndoa ilifungwa katika kanisa la st Gasper mbezi Dar es salaam
Bw. Harus bwana Nemes Olomi hiyo ndio Gari waliyojimuvuzisha nayo sk ya Harus yao
Bi Harus akiwa katika pozi ndani ya Maznat saloon
Hongera maharusi kwa kufunga pingu za maisha mungu awabariki katika ndoa yenu
sherehe zilikuwa katika ukumbi wa sun set mbezi Beach Dar es salaam Twiga hall
Hizi ni baadhi ya picha zao za mobile studio ambaza GK PRODUCTIO walitoa huduma hiyo
Mameids wakiwa katika Pozi na Bi harus
No comments:
Post a Comment