Hii ndiyo saloon aliyopambwa bi.Harusi Selina
Mameids wakifuatilia ibada ya ndoa kwa makini
M
Hapa Selina amepiga picha na mama mkwe wake
Hongera mameids kwa kupendeza, mmetokelezea.
Richard akivishwa pete na Mkewe Selina
Hongera selina umeula mama
Richad akiwa shukuru wageni waalikwa
Hongera richad na Selina kwa uamuzi mlio ufikia
No comments:
Post a Comment