ni full shangwa katika ukumbi wa Polce officer ,s Mess Dar es salaam
Maharusi walipiga pia picha za mobile studio wakiwa na ndugu na marafiki zao
Ndoa ilifungwa katika kanisa la st Peters Dar es salaam
Picha hizi maharusi walipaga katika bustani za Sea Cliff Hotel Dar es salaam
Ndaoni ya Sea cliff na Marafiki zao na Waliosoma pamoja na Elius Wingereza
Redempta saloom alitengenezwa palepale hotelini
mama wa Elius akifanya tosting na mwanae ukumbini
Wazazizi wa bi harus Redempta wakifanya tosting na watoto wao
dada wa bi harusi akipata picha na mdogo wake studio
No comments:
Post a Comment