Maharusi wakiwa na kamati yao ya maandalizi,
Mama mzazi wa Janet akifurahia harusi ya watoto wao
Wenye sut ni wajomba wa Bw.Harus katika kumpongeza kijana wao
Kwa mbwembwe na furaha Christopher na Janet wakiingia ukumbini
vijana wakisakata kwaito asiya na mwana aeleke jiwe
Janet na matron wake:asante dada kwa kukubali kuwa msimamizi wa ndoa yangu
Danieli mwabeza kaka wa bw harusi akitoa nasaha kwa mdogo wake
Baba mdogo wa Bw harusi akitoa neno kanisani Kanisa la Morovian Usharika wa mabibo Dar es salaam
Familia zenye nyuso za furaha wakipata picha za kumbukumbu
Tunawatakia ndoa yenye baraka na upendo kwa jamii mungu awabariki
wanakamati wakikabidhiwa keki kama alama ya upendo
kama kawa vijana wakilisakata rumba ni full shangwe
Baba mzazi wa Bi harusi Janeth akiwapa wosia vijana
Vijana wamesha changamka bwana Harusi Hatimaye atupa koti kusikojulikana na kufanya vitu vyake kama aonekanavyo full kujiachia
Ahsante mama na poleni kwa safari toka mbeya kwa ajila yangu mungu awabariki
No comments:
Post a Comment