Muonekano wa ukumbi wa Kilamuu, sk ya harusi ya Joseph & Regina
Keki nzuri hongera maharusi
stage ya Joseph na Regina imevutia sana big up.
Hizo ni baadhi ya Picha za mobile studio ambazo maharusi walipiga kabla ya kuingia ukumbini
maharusi wakipata picha na familia
Mameids mmetokelezea,hongera
mwenyekiti wa kamati akizawadiwa picha na maharusi
No comments:
Post a Comment