Siku ya send off ya Fides
Mc akimtambulisha Fides na Mpambe wake
wanaingia ukumbini kwa mbwembwe
hapa wakipata picha za familia
Bwana harusi mtarajiwa na mpambe wake wakishaurina jambo
Baba mzazi wa Fides mzee Exaud mushi kushoto wakiendelea kupata matukio
Kaka wa Fides kushoto akimkabidhi dada yake kwa mshenga
mmetokelezea wadogo zake na bi harusi wakipata shot nzuri ya picha
mama zake na Fides wakiendelea kufuatilia mtirirko wa sherehe kushoto ni mama mzazi na kulia mama mlezi
mabo ya shampen
wazazi wakipokea keki kutoka kwa bint yao
Hapa mzee Exaud Moshi kwa ustad mkubwa akikata ndafu
Baba akitoa nasaha kwa bint yake
Piha za makundi kati familia zikipigwa kwa ukumbusho
makundi mbalimbali yakiendelea kupata picha za ukumbusho
Dah,hongera Fides umejipatia wako wa maisha,tunawatakia maisha mema yenye furaha na upendo
kwaito limechanganya si mchezo,mc Uncle Elly na wewe kumbe umo?
mkono wa pongezi
wadogo wa bi harusi wakimpongeza dada yao
Akiwashukuru wazazi wake kwa kumpa malezi bora hatimaye anawaaga kwenda kuanza maisha mapya
Fifes akipata shots nzuri za still photos
si mchezo mmependeza
No comments:
Post a Comment