Bw.Harusi Joseph akiwa na wapambe wake, hongereni kwa kupendeza.
Baadhi ya picha walizopiga maharusi katika Mobile studio.
Ndoa ilifungwa katika Kanisa la Aglikana St. Albano
Joseph & Lilian wakiingia ukumbini kwa mbwembwe, sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Mwika Social Hall Sinza Dar-es salaam.
Hii mmejitahidi kiasi
ReplyDelete