Belinda akiwa saloon
Hongera uamuzi mlioufikia
Wapambe wa harusi ya nelson ndani ya suti vijana mmetokelezea
wakielekea madhabahuni kuapishwa kuuacha ukapera
Kaka Nelson hongear kwa uamuzi wako wa busara
Bi harusi Belinda akitia sahihi vyeti vya ndoa
Mwandishi wa hayo maelezo ya picha yupo straight mno.
ReplyDeleteHaina taste