Wapambe wa maharusi wakiingia ukumbini.
Wasimamizi wa maharusi wakiingia ukumbini.
Asante Mungu kwa upendo na Baraka zako.
Mzazi wa Albert akitoa nasaha kwa maharusi.
Zoezi la keki kama ishara ya upendo likichukua nafasi yake.
Mungu tubariki kwa kufurahi na kunywa pamoja kwa Baraka zako.
MR. Albert akitoa utambulisho kwa ndugu na marafiki.
Muziki wa pamoja kama ishara ya umoja na upendo.
Ngoma ya wanyambo ikichezwa kwa umaridadi mkubwa.
Mchungaji akitoa nasaha zake kwa wanandoa.
Sylvia akipokea zawadi kwa heshima kutoka kwa wakwe.
Zawadi za kimila zikichukua nafasi yake.
Taratibu za kimila zikitolewa na mwakilishi wa ukoo.
Mfanyakazi mwenzake na Albert akitoa salaam kwa maharusi.
Mungu awabariki na kuwalinda.
Wanafunzi wenzakewaliosoma na Mr Albert wakipata picha ya pmoja.
No comments:
Post a Comment