Sherehe Arts Association {SAA} Siku ya mkutano mkuu wa Chama wa mwaka 22|06|2015 - GKZ PRODUCTION

Breaking

Home Top Ad

.com/blogger_img_proxy/

Post Top Ad

Thursday, July 16, 2015

demo-image

Sherehe Arts Association {SAA} Siku ya mkutano mkuu wa Chama wa mwaka 22|06|2015

Responsive Ads Here
53
39
36
55

56
 Duvii Vision Production Ndiyo kampuni iliyotoa huduma katika mkutano wa SAA
57

58
Mkurugezi wa Msafiri Media Production bw Msafiri Kasike  akijadili jambo na Mc Mwambeleko
59
 Said Hassan a.k.a Dj Pepsi Mashine  akiwa na Mkurugenzi wa Image Production Isakwisa kalinga wakisubiri mkutano kuanza
46
 baahdi ya wanachama wapya walikabidhiwa katiba ya chama huyo ni Dj pepsi mashin akitabasm kupewa mwongozo yaani katiba, karibu sana
47

48
 Salama muba pia alikabidhiwa katiba
49
 Genoveva Mtaita Mpambaji akikabidhi Risala
50

52

53
34
 Kamati kuu,kamati ya utendaji na walezi wa chama walipata wasaa wakupiga picha na wageni wetu waalikwa
35

38
 Hapa ni baadhi ya vinyajikutoka TDL{Kiwanda cha konyagi} ambao ndio walikuwa wadhamini wetu
40
 Mwanachama mpya Stambua Babiker mpambaji akipokea katiba ya chama
41

42
 Dj Machachari kabisa bw Shukuru Malewa akipokea katiba ya chama
43

44
 Jenoveva Kilimba na ndiye mmiliki wa Daje saloon akipokea katiba

25
 Wadau wa saa hawa wakipata kumbukumbu ni furaha kukutana
26

27
 Picha za pamoja Birigita kisega mpambaji,Adela Ngaya Mc,Dj Pepsi mashine,Mc Chipolopolo,Dj Malewa.Mc Mwakjumba,Mc Uncle Elly,Mc Clay Mush na Mlezi wa Chama Mc Ahmed Chombo
28

29
 Kutoka kushoto,Katibu mkuu wa chama Brayson Makena,Mc Alcado Nchinga Mhazini mkuu wa chama,Mc Gaydon Lukuwi Mwenyekiti wa chama,Mc Chitanda mlezi wa Chama na mwenyekiti wa saa sacos na mwisho waliosimama ni Mc Mwakajumba makamu mwenyekiti wa chama na waliokaa kutoka kushoto nimama Genrose Kintu Mlezi wa chama, bw Makame mgeni afisa kutoka basata na wawili mwisho ni walezi wa chama Mc Chombo na mpambaji Cynthia Henjewele
30

31
 Piga simu 0713 437 162 kuwasiliana na washereheshaji hawa karibu saa upate huduma bora!
32

33
13

14
 Walezi wa chama wakishauriana jambo  Mlezi chombo na Mlezi Chitanda
15

16
 Mkurugenzi wa kampuni ya Duvii Vision{ katikati} akiwa na wawezeshaji wa kampuni ya Duvii vision Production wakifanya yao
17

18

19

20

21

22

23

24
1
 Mkurugenzi wa Image Production Isakwisa kalinga Kushoto,kati ni Mkurugenzi wa Gk Production Gervas Kamwaya na mwisho ni Dj maarufu mjini Dj Peps  mashine wakifuatilia jambo ndani ya chumba cha mkutano wa washereheshaji saa
2

 Ndugu wateja wetu kutoka umoja wa Sherehe Arts Association {SAA} mtapata huduma zifuatazo,ma mc,wapmbaji,waoka keki,wapishi,wapiga picha za mnato na kutembea,wapiga matarumbeta, wacha kwenda mitaani ukakutana na wababaishaji njoo saa upate huduma bora na si bora huduma


6

7

8


10
 Mc Kimelabila a.k a. mzee wa English please katika vipindi vya haki elimu kulia ni mpiga picha Gervas Kamwaya a.k.a Gk
11
 wadau wa makampuni ya Production,kushoto Msafiri kati ni Duvii na mwisho mc kim a.k.a Baby Face
12

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages