maharusi wakipokea vyeti vya ndoa baada ya kufunga ndoa iliyofungwa katika kanisala K.K.K.T
usharika wa mbagala Dar es salaam
wenye nyuso zenye furaha katika zoezi la shmpein
lusungu na Creen wanakunywa kinywaji vipego vya kimila { lupeyo kungwela ujimbi hambe malenga kuchigogo}
aliingia salun kabla ya kuingia ukumbini,hongera dada Careen kwa kuleta heshima kwa familia yako
Hiyo ndiyo kamati ya maandalizi ya sherehe ya Lusungu & Careen
Pia maharusi yalipiga picha za Mobile studio Kabla ya kuingia ukumbini
No comments:
Post a Comment