Send off Party Alfonsina held at Next Door Tabata On 23th of October 2014 - GKZ PRODUCTION

Breaking

Home Top Ad

Simple, Free Image and File Hosting at MediaFire

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, October 26, 2014

Send off Party Alfonsina held at Next Door Tabata On 23th of October 2014


f


 kushoto n i bi harusi mtarajiwa Alfonsina akiwa na tabasam la nguvu,hongera dada



 ahsante rafiki yangu kwa kunisimamia shughuli yangu,barikiwa
 ahsateni wageni waalikwa kwa kunijoin katika shughuli yangu


 Hizo ni baahdi ya Paking za ukumbi wa Next Door tunazo paking za kutosha karibuni sana
 Ni jinsi gani ukumbi ulivyopendeza siku ya sherehe ya dada Alfonsina
 Stage nzuri kama inavyoonekana Hongera Alfonsina tunakutakia maisha mema huko uendako mungu akubariki






 Bi harusi mtarajiwa akikabidhi keki kwa wazazi wake wapya:karibu mtoto wetu



 Burudani kabisa  wakiwa na nyuso zenye furaha wakiwatakia wageni waalikwa hier katika kinywaji




 wageni waalikwa wakishuhudia matukio yanavyoendelea



 Huyu ndiye Mc Chipolopolo akiwasherehesha wateja wake,ahsante baba, tumika








 Mwanangu katika maisha yako yote ishi kwa kumtegemea mungu,nakupa silaha kayasome maandiko matakatifu


 Hongera wazazi kwa malezi bora ya bint yenu mungu awbariki



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages