AKIBA COMMERCIAL BANK UBUNGO,KUAGA NA KUPOKEA WAFANYAKAZA WAPYA - GKZ PRODUCTION

Breaking

Home Top Ad

Simple, Free Image and File Hosting at MediaFire

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, June 1, 2014

AKIBA COMMERCIAL BANK UBUNGO,KUAGA NA KUPOKEA WAFANYAKAZA WAPYA

 Baadhi ya wafanyakizi wa Akiba commercial Bank wakipiga picha za pamoja
 Hapa wakimkaribisha Branchi manager ukumbini
 Maganga  alikuwa Mc wa tafrija
 akiwauliza wafanyakazi wenzake, wameionaje Party, kulavyombo dada, ziishe hizo.
 si mchezo kazi kwenu,asiye na mwana aeleke jiwe



 Branch manager Mama Fatuma Kigembe akifungua sherehe
 Ahsante mama yetu kwa uongozi wako bora tunakuahidi kuchapa kazi
 kaka unajitumaje?







 zoezi la kugonganisha glass au kutakiana heri katika kinywaji likiendelea kwa mbwembwe za furaha
 Deo umechelewa kaka endelea kuzunguka utampata wa kucheza naye.,
 Kamanda ndani ya nyum,ba ruka baba,
 Duh,misangweji ya kufa mtu,mmefaidije?
 vijana hamuongei? kwa raha zenu,baada ya misosi vyupa vinaendelea kama kawa.
 Najma Khamis akimzawadia boss wake zawadi kama ukumbusho.yeye ni mmojawapo wa wanao agwa
 kaka shija nakuona unaselebuka kama siyo wewe vile.


 Duh,kwaito limechangnya,mmetokelezea,



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages