Unique akiwa saloon tayari kwa maandallizi ya kufunga ndoa
hongera unique kwa kupendeza akiwa wa matron wake na mameids wake
ndoa ilifunwa katika kanisa la ufufuo na uzima kawe Dar es salaam
mungu awabariki mkaishi maisha mema ya upendo na amani hongera maharusi
wakifurahia jambo baada ya kusaini vyeti vya ndoa na mchungaji wao
ilikuwa ni chereko chereko na vifijo
Unique akitoa shukran zake ndugu na jamaa kumpa sapoti katika sherehe yake
No comments:
Post a Comment