Mahafali ya Kumaliza kidato cha sita Tusiime Sekondari 2014 - GKZ PRODUCTION

Breaking

Home Top Ad

Simple, Free Image and File Hosting at MediaFire

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, April 24, 2014

Mahafali ya Kumaliza kidato cha sita Tusiime Sekondari 2014

 Hapa ni baadhi ya Majengo ya Tusiime secondari iliyopo Tabata Dar es salaam
 Mahafali yalifanyika tarehe 19|04|2014
 Ni shrehe fupi aliyofanyiwa Raphaeli Nyatega baada ya kuhitimu kidato cha sita
 Mama akitoa neno la shukrani kwa mwanae kufikia hapo alipo na kumsihi aongeze bidii katika masomo yajoyo mungu akimpa uzima
 kwa furaha kabisa akimkabidhi zawadi mwanae
 wanafamilia wakimpongeza
 kushoto ni mdogo wake Raphael anaitwa Rozi akiwa mwenye furaha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages