Sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Mawela Sinza Dar es salaam
Samira akipiga picha na Familia yake hapo walikuwa mobile studio
Samira akiingia ukumbini na mpambe wake
Baba mdogo wa bi harusi akitoa nasaha kwa mwanae
Bi harusi apta picha na wazazi wake
Samira akitoa zawadi aliyomuandalia mumewe mtarajiwa
Hongera samira umelamba dume taraatibu unajimuvuzisha katika meza ya chakula
Wageni waalikwa wakifurahia jambo
Mama samira akitunzwa zawadi na wageni waalikwa
Gk Production pia walitoa huduma ya Mobile studio kwa samira hani baadhi ya picha alizopiga
katika studio
Samira kushoto ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na kulia ni shemeji yake
No comments:
Post a Comment