Huo ndio muonekano wa ukumbi ambao maharusi David na Johari walijivinjari.ni ukumbi mzuri kwa raha zenu maharusi,mmetokelezea
David na Johari mmependeza sana,mkaishi maisha bora yenye baraka na upendo
ni raha tu! mmeyapatia,
Si mwingine,bali ni mc Chipolopolo ambaye aliwasherehesha wageni waalikwa kama anavyoonekana
ni burudani tupu hapa wakitakiana kheri katika kinywaji









































































No comments:
Post a Comment